ثُمَّ إِذَا كَشَفَ ٱلضُّرَّ عَنكُمۡ إِذَا فَرِيقٞ مِّنكُم بِرَبِّهِمۡ يُشۡرِكُونَ ٥٤
Thumma idhā kashafad-durra 'ankum idhā farīqum minkum birabbihim yushrikūn
Na anapo kuondosheeni madhara mara kundi moja miongoni mwenu linamshirikisha Mola wao Mlezi, 54
Maelezo ya chini
54 Kisha akiitikia maombi yenu na akakuondoleeni madhara baadhi yenu huisahau Haki ya Mwenyezi Mungu ya Umoja wake na kumsafia ibada Yeye tu, wakamshirikisha Muumba wao na Mlezi wao, na wakawaabudu naye wenginewe.