وَمَا بِكُم مِّن نِّعۡمَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ ثُمَّ إِذَا مَسَّكُمُ ٱلضُّرُّ فَإِلَيۡهِ تَجۡـَٔرُونَ ٥٣
Wamā bikum min ni'matin faminallāhi thumma idhā massakumud-durru fa ilayhi taj'arūn
Na neema yoyote mliyo nayo inatoka kwa Mwenyezi Mungu. Kisha yakikuguseni madhara mnamyayatikia Yeye. 53
Maelezo ya chini
53 Na neema yoyote ikikujieni, basi inatoka kwa Mwenyezi Mungu peke yake. Kisha kikikupateni chochote cha kukudhuruni msiyayatike kwa ukomo wa kelele zenu kwa mwenginewe yeyote isipo kuwa Yeye.