Surat An-Nahl, aya 52

16:52

وَلَهُۥ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَلَهُ ٱلدِّينُ وَاصِبًاۚ أَفَغَيۡرَ ٱللَّهِ تَتَّقُونَ ٥٢

Walahū mā fis-samāwāti wal-ardi walahud-dīnu wāsiban afaghayrallāhi tattaqūn

Na ni vyake Yeye viliomo katika mbingu na ardhi. Na Dini ni yake Yeye daima. Je! Mtamcha mwengine asiye kuwa Mwenyezi Mungu? 52

Maelezo ya chini

52 Yeye pekee ndiye mwenye vyote viliomo mbinguni na katika ardhi, kwa kuviumba na kuvimiliki na kumuabudu. Basi ni haki yake Yeye tu pekee kuabudiwa na kuhimidiwa na kunyenyekewa, na kutarajiwa rehema yake, na kuogopwa adhabu yake.