Surat An-Nahl, aya 26

16:26

قَدۡ مَكَرَ ٱلَّذِينَ مِن قَبۡلِهِمۡ فَأَتَى ٱللَّهُ بُنۡيَٰنَهُم مِّنَ ٱلۡقَوَاعِدِ فَخَرَّ عَلَيۡهِمُ ٱلسَّقۡفُ مِن فَوۡقِهِمۡ وَأَتَىٰهُمُ ٱلۡعَذَابُ مِنۡ حَيۡثُ لَا يَشۡعُرُونَ ٢٦

Qad makaral-ladhīna min qablihim fa atallāhu bunyānahum minal-qawā'idi fakharra 'alayhimus-saqfu min fawqihim wa atāhumul-'adhābu min haythu lā yash'urūn

Walipanga vitimbi walio kuwa kabla yao, Mwenyezi Mungu akayasukua majengo yao kwenye misingi, dari zikawaporomokea juu yao, na adhabu ikawajia kutoka wasipo kujua. 26

Maelezo ya chini

26 Na hawa makafiri wenye kiburi walitanguliwa na wengine mfano wao. Walipanga njama zao kuwapangia Manabii wao, na wakafanya hila kuwapoteza watu. Na Mwenyezi Mungu alizibomoa njama zao, akaiharibu miji yao. Akawateremshia adhabu katika dunia ambayo hawakuitaraji.