Surat An-Nahl, aya 22

16:22

إِلَٰهُكُمۡ إِلَٰهٞ وَٰحِدٞۚ فَٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِٱلۡأٓخِرَةِ قُلُوبُهُم مُّنكِرَةٞ وَهُم مُّسۡتَكۡبِرُونَ ٢٢

Ilāhukum ilāhun wāhidun falladhīna lā yu'minūna bil-ākhirati qulūbuhum munkiratun wahum mustakbirūn

Mungu wenu ni Mungu Mmoja. Lakini wasio iamini Akhera nyoyo zao zinakataa, nao wanajivuna. 22

Maelezo ya chini

22 Na imekwisha wekwa wazi kwa kila dalili kwamba hakika Mungu wenu anaye pasa mumuabudu peke yake ni Mungu Mmoja ambaye hana mshirika wake. Na juu ya hayo wale wasio amini kufufuliwa na kuhisabiwa, nyoyo zao zinaukataa Upweke wake. Kiburi chao kinawazuia kufuata Haki na kuit'ii.