Surat An-Nahl, aya 121

16:121

شَاكِرٗا لِّأَنۡعُمِهِۚ ٱجۡتَبَىٰهُ وَهَدَىٰهُ إِلَىٰ صِرَٰطٖ مُّسۡتَقِيمٖ ١٢١

Shākiral li an'umihijtabāhu wahadāhu ilā sirātim mustaqīm

Mwenye kuzishukuru neema zake, Mwenyezi Mungu. Yeye kamteuwa,na akamwongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. 121

Maelezo ya chini

121 Alikuwa mwenye kushukuru kwa neema za Mola wake Mlezi. Na kwa haya yote ndio Mwenyezi Mungu alimteua ili abebe Ujumbe wake, na akamwezesha kufuata Njia ya Haki Iliyo Nyooka yenye kufikilia kwenye neema ya kudumu.