إِنَّ لِلۡمُتَّقِينَ مَفَازًا ٣١
Inna lil-muttaqīna mafāzā
Hakika wachamngu wanastahiki kufuzu, 31
Maelezo ya chini
31 Hakika wenye kumcha Mola wao Mlezi watapata kuokoka na adhabu, na wataipata Pepo,
إِنَّ لِلۡمُتَّقِينَ مَفَازًا ٣١
Inna lil-muttaqīna mafāzā
Hakika wachamngu wanastahiki kufuzu, 31
31 Hakika wenye kumcha Mola wao Mlezi watapata kuokoka na adhabu, na wataipata Pepo,