Surat An-Naba, aya 28

78:28

وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَا كِذَّابٗا ٢٨

Wakaddhabū bi'āyātinā kiddhābā

Na wakikanusha Aya zetu kwa nguvu. 28

Maelezo ya chini

28 Wakazikadhibisha Ishara za Mwenyezi Mungu zenye kuthibitisha kufufuliwa kwa mkadhibisho mkali.