Surat An-Naba, aya 27

78:27

إِنَّهُمۡ كَانُواْ لَا يَرۡجُونَ حِسَابٗا ٢٧

Innahum kānū lā yarjūna hisābā

Hakika hao hawakuwa wakitaraji kuwa kuna hisabu. 27

Maelezo ya chini

27 Kwani hao hawakutaraji kuwa itakuwapo kuhisabiwa, hata watende ya kuwaokoa humo.