Surat An-Naba, aya 25

78:25

إِلَّا حَمِيمٗا وَغَسَّاقٗا ٢٥

Illā hamīman waghassāqā

Ila maji yamoto sana na usaha, 25

Maelezo ya chini

25 Lakini watakunywa maji yalio pita ukomo kwa umoto wake, na usaha unao miminika kutokana na ngozi za watu wa Motoni.