Surat An-Naba, aya 24

78:24

لَّا يَذُوقُونَ فِيهَا بَرۡدٗا وَلَا شَرَابًا ٢٤

Llā yadhūqūna fīhā bardan walā sharābā

Hawataonja humo chochote kibaridi wala kinywaji, 24

Maelezo ya chini

24 Hawataonja humo hata chembe ya upepo wa kuburudisha joto lake, wala kinywaji cha kupoza kiu chao.