يَوۡمَ يُنفَخُ فِي ٱلصُّورِ فَتَأۡتُونَ أَفۡوَاجٗا ١٨
Yawma yunfakhu fis-sūri fata'tūna afwājā
Siku litapo pulizwa barugumu, nanyi mtakuja kwa makundi, 18
Maelezo ya chini
18 Siku litakapo pulizwa barugumu na kufufuliwa watu, mtakuja kwenye mkutano makundi kwa makundi.