إِنَّ يَوۡمَ ٱلۡفَصۡلِ كَانَ مِيقَٰتٗا ١٧
Inna yawmal-fasli kāna mīqātā
Hakika siku ya uamuzi imewekewa wakati wake, 17
Maelezo ya chini
17 Hakika siku ya uamuzi baina ya viumbe imewekewa miadi ilio kwisha kadiriwa kwa ajili ya kufufuliwa.