لِّنُخۡرِجَ بِهِۦ حَبّٗا وَنَبَاتٗا ١٥
Llinukhrija bihī habban wanabātā
Ili tutoe kwayo nafaka na mimea. 15
Maelezo ya chini
15 Ili tutoe kwa maji haya nafaka na mimea kuwa ni chakula kwa ajili ya watu na wanyama.
لِّنُخۡرِجَ بِهِۦ حَبّٗا وَنَبَاتٗا ١٥
Llinukhrija bihī habban wanabātā
Ili tutoe kwayo nafaka na mimea. 15
15 Ili tutoe kwa maji haya nafaka na mimea kuwa ni chakula kwa ajili ya watu na wanyama.