Surat Al-Waqi'ah, aya 96

56:96

فَسَبِّحۡ بِٱسۡمِ رَبِّكَ ٱلۡعَظِيمِ ٩٦

Fasabbih bismi rabbikal-'azīm

Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkubwa. 96

Maelezo ya chini

96 Tanguliza tasbihi kwa kumdhukuru Mola wako Mlezi aliye Mkubwa, kwa kumtakasa na kumshukuru kwa neema zake.