إِنَّ هَٰذَا لَهُوَ حَقُّ ٱلۡيَقِينِ ٩٥
Inna hādhā lahuwa haqqul-yaqīn
Hakika hii ndiyo haki yenye yakini. 95
Maelezo ya chini
95 Hakika haya yaliyo tajwa katika Sura hii tukufu bila ya shaka ni kiini cha yakini iliyo thibiti, isiyo ingiliwa na shaka.