وَأَصۡحَٰبُ ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ مَآ أَصۡحَٰبُ ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ ٩
Wa ashābul-mash'amati mā ashābul-mash'amah
Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni? 9
Maelezo ya chini
9 Na watu wa kushotoni, hao ni watu wa cheo duni, uovu ulioje wa hali yao!