Surat Al-Waqi'ah, aya 8

56:8

فَأَصۡحَٰبُ ٱلۡمَيۡمَنَةِ مَآ أَصۡحَٰبُ ٱلۡمَيۡمَنَةِ ٨

Fa ashābul-maymanati mā ashābul-maymanah

Basi watakuwepo wa kuliani; je, ni wepi wa kuliani? 8

Maelezo ya chini

8 Basi watu wa mkono wa kulia, watu wa cheo kilio bora, utukufu ulioje huo wa hali yao!