Surat Al-Waqi'ah, aya 89

56:89

فَرَوۡحٞ وَرَيۡحَانٞ وَجَنَّتُ نَعِيمٖ ٨٩

Farawhun warayhānun wajannatu na'īm

Basi ni raha, na manukato, na Bustani zenye neema. 89

Maelezo ya chini

89 Basi mwisho wake ni raha, na rehema, na riziki njema, na Pepo yenye neema.