۞ فَلَآ أُقۡسِمُ بِمَوَٰقِعِ ٱلنُّجُومِ ٧٥
Falā uqsimu bimawāqi'in-nujūm
Basi naapa kwa maanguko ya nyota, 75
Maelezo ya chini
75 Basi ninaapa kweli kwa maangukio ya nyota pale zinapo tua mwisho wa usiku wakati wa Tahajudi, ibada za usiku, na kustaghafiru.