Surat Al-Waqi'ah, aya 74

56:74

فَسَبِّحۡ بِٱسۡمِ رَبِّكَ ٱلۡعَظِيمِ ٧٤

Fasabbih bismi rabbikal-'azīm

Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkuu. 74

Maelezo ya chini

74 Basi dumisha kusabihi, kutakasa, kwa kulidhukuru jina la Mola wako Mlezi aliye Mkubwa, kwa kumtakasa na kumshukuru kwa neema hizi nzuri.