Surat Al-Waqi'ah, aya 73

56:73

نَحۡنُ جَعَلۡنَٰهَا تَذۡكِرَةٗ وَمَتَٰعٗا لِّلۡمُقۡوِينَ ٧٣

Nahnu ja'alnāhā tadhkiratan wamatā'al lil-muqwīn

Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani. 73

Maelezo ya chini

73 Sisi tumeufanya huu moto uwe ni ukumbusho wa Moto wa Jahannamu mtapo uona, na uwe ni manufaa kwa wasafiri wa msitu na nyika, wakinafiika kwa kupikia chakula chao na kuotea moto wakati wa baridi.