ءَأَنتُمۡ أَنشَأۡتُمۡ شَجَرَتَهَآ أَمۡ نَحۡنُ ٱلۡمُنشِـُٔونَ ٧٢
A'antum ansha'tum shajaratahā am nahnul-munshi'ūn
Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji? 72
Maelezo ya chini
72 Ni nyinyi ndio mlio uotesha mti wake, na mkautia ndani ya huo mti moto, au ni Sisi ndio tulio uumbia hivyo, kadhaalika?