وَلَقَدۡ عَلِمۡتُمُ ٱلنَّشۡأَةَ ٱلۡأُولَىٰ فَلَوۡلَا تَذَكَّرُونَ ٦٢
Walaqad 'alimtumun-nash'atal-ūlā falawlā tadhakkarūn
Na bila ya shaka mlikwisha jua umbo la kwanza, basi kwa nini hamkumbuki? 62
Maelezo ya chini
62 Bila ya shaka mmekwisha yakinika kuwa Mwenyezi Mungu alikuumbeni mara ya kwanza, basi je, hamkumbuki kwamba Mwenye kuweza hayo ni Mweza zaidi wa kufanya tena.