Surat Al-Waqi'ah, aya 52

56:52

لَأٓكِلُونَ مِن شَجَرٖ مِّن زَقُّومٖ ٥٢

La'ākilūna min shajarim min zaqqūm

Kwa yakini mtakula mti wa Zaqqumu. 52

Maelezo ya chini

52 Bila ya shaka mtakula mti wa Zaqqumu katika Jahannamu, na mtayajaza matumbo yenu kwa shida ya njaa.