إِلَّا قِيلٗا سَلَٰمٗا سَلَٰمٗا ٢٦
Illā qīlan salāman salāmā
Isipo kuwa maneno ya Salama, Salama. 26
Maelezo ya chini
26 Ila watalo sikia ni kauli ya wao kwa wao: Tunakusalimuni kwa Salama.
إِلَّا قِيلٗا سَلَٰمٗا سَلَٰمٗا ٢٦
Illā qīlan salāman salāmā
Isipo kuwa maneno ya Salama, Salama. 26
26 Ila watalo sikia ni kauli ya wao kwa wao: Tunakusalimuni kwa Salama.