Surat Al-Waqi'ah, aya 25

56:25

لَا يَسۡمَعُونَ فِيهَا لَغۡوٗا وَلَا تَأۡثِيمًا ٢٥

Lā yasma'ūna fīhā laghwan walā ta'thīmā

Humo hawatasikia porojo wala maneno ya dhambi, 25

Maelezo ya chini

25 Huko Peponi hawatasikia maneno yasiyo kuwa na maana, wala masimulizi ya kumtia dhambini mwenye kuyasikia.