جَزَآءَۢ بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ٢٤
Jazā'a bimā kānū ya'malūn
Ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyatenda. 24
Maelezo ya chini
24 Watapewa haya kuwa ni malipo kwa mambo mema waliyo kuwa wakiyatenda duniani.