Surat Al-Waqi'ah, aya 23

56:23

كَأَمۡثَٰلِ ٱللُّؤۡلُوِٕ ٱلۡمَكۡنُونِ ٢٣

Ka amthālil-lu'luw'il-maknūn

Walio kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa. 23

Maelezo ya chini

23 Kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa katika chaza, kwa usafi wao na urembo wao.