لَّا يُصَدَّعُونَ عَنۡهَا وَلَا يُنزِفُونَ ١٩
Llā yusadda'ūna 'anhā walā yunzifūn
Hawataumwa kichwa kwa vinywaji hivyo wala hawatoleweshwa. 19
Maelezo ya chini
19 Vinywaji hivyo haviwaletei kuumwa kichwa wala kutokwa akili kwa ulevi.