Surat Al-Waqi'ah, aya 18

56:18

بِأَكۡوَابٖ وَأَبَارِيقَ وَكَأۡسٖ مِّن مَّعِينٖ ١٨

Bi akwābin wa abārīqa waka'sim mim ma'īn

Kwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi. 18

Maelezo ya chini

18 Nao wamechukua vikombe na mabirika yaliyo jaa vinywaji vya Peponi, na bilauri zenye mvinyo kutoka chemchem zinazo miminika,