Surat Al-Qiyamah, aya 36

75:36

أَيَحۡسَبُ ٱلۡإِنسَٰنُ أَن يُتۡرَكَ سُدًى ٣٦

Ayahsabul-insānu an yutraka sudā

Ati anadhani binaadamu kuwa ataachwa bure? 36

Maelezo ya chini

36 Hivyo anadhani huyu mtu anaye kanya kufufuliwa kuwa ataachwa hivi hivi akiringa tu katika maisha yake, na akisha kufa iwe basi, wala asifufuliwe akahisabiwa kwa vitendo vyake?