Surat Al-Qiyamah, aya 37

75:37

أَلَمۡ يَكُ نُطۡفَةٗ مِّن مَّنِيّٖ يُمۡنَىٰ ٣٧

Alam yaku nutfatam mim maniyyin yumnā

Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa? 37

Maelezo ya chini

37 Kwani yeye mtu hakuwa ni tone tu ya manii, ilio jaaliwa kuwemo katika tumbo la uzazi?