Surat Al-Qiyamah, aya 13

75:13

يُنَبَّؤُاْ ٱلۡإِنسَٰنُ يَوۡمَئِذِۭ بِمَا قَدَّمَ وَأَخَّرَ ١٣

Yunabba'ul-insānu yawma'idhi bimā qaddama wa akkhar

Siku hiyo ataambiwa aliyo yatanguliza na aliyo yaakhirisha. 13

Maelezo ya chini

13 Siku hiyo mtu ataambiwa vitendo vyake alivyo vitanguliza na alivyo viakhirisha.