Surat Al-Qasas, aya 66

28:66

فَعَمِيَتۡ عَلَيۡهِمُ ٱلۡأَنۢبَآءُ يَوۡمَئِذٖ فَهُمۡ لَا يَتَسَآءَلُونَ ٦٦

Fa'amiyat 'alayhimul-ambā'u yawma'idhin fahum lā yatasā'alūn

Basi zitawapotea khabari siku hiyo, nao hawataulizana. 66

Maelezo ya chini

66 Khabari hizo zikawapita hawazitambui kama kwamba ni vipofu. Ikawa hapana amuulizae mwenziwe, kwani wote walikuwa sawa sawa wameshindwa kujibu.