Surat Al-Qasas, aya 65

28:65

وَيَوۡمَ يُنَادِيهِمۡ فَيَقُولُ مَاذَآ أَجَبۡتُمُ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ٦٥

Wayawma yunādīhim fayaqūlu mādhā ajabtumul-mursalīn

Na siku atapo waita na akasema: Mliwajibu nini Mitume? 65

Maelezo ya chini

65 Na ewe Mtume! Taja vile vile siku washirikina watapo itwa na Mwenyezi Mungu kwa kutahayarishwa, na wakaambiwa: Mliwajibu nini Mitume wangu nilio watuma kwenu wakuiteni kwenye Imani, nao wakafikisha Ujumbe?