Surat Al-Qamar, aya 55

54:55

فِي مَقۡعَدِ صِدۡقٍ عِندَ مَلِيكٖ مُّقۡتَدِرِۭ ٥٥

Fī maq'adi sidqin 'inda malīkim muqtadir

Katika makalio ya haki kwa Mfalme Mwenye uweza. 55

Maelezo ya chini

55 Katika baraza ya Haki, hakuna porojo huko wala madhambi, kwa Mwenyewe Mfalme Mtukufu wa uweza