Surat Al-Qamar, aya 45

54:45

سَيُهۡزَمُ ٱلۡجَمۡعُ وَيُوَلُّونَ ٱلدُّبُرَ ٤٥

Sayuhzamul-jam'u wayuwallūnad-dubur

Wingi wao huu utashindwa, na wao watasukumwa nyuma. 45

Maelezo ya chini

45 Kikundi hicho kitashindwa, na watakimbia mbio wakifurushwa.