أَمۡ يَقُولُونَ نَحۡنُ جَمِيعٞ مُّنتَصِرٞ ٤٤
Am yaqūlūna nahnu jamī'um muntasir
Au ndio wanasema: Sisi ni wengi tutashinda tu. 44
Maelezo ya chini
44 Bali ati wanasema hawa makafiri: Sisi ni kikundi kilicho ungana chenye nguvu juu ya maadui wake, hakishindwi.