Surat Al-Qamar, aya 35

54:35

نِّعۡمَةٗ مِّنۡ عِندِنَاۚ كَذَٰلِكَ نَجۡزِي مَن شَكَرَ ٣٥

Nni'matam min 'indinā kadhālika najzī man shakar

Kwa neema inayo toka kwetu. Hivyo ndivyo tumlipavyo anaye shukuru. 35

Maelezo ya chini

35 Kwa kuwapa neema iliyo toka kwetu. Neema kama hizo kubwa kubwa ndivyo tunavyo walipa wenye kuishukuru neema yetu kwa imani yao na ut'iifu.