Surat Al-Qalam, aya 31

68:31

قَالُواْ يَٰوَيۡلَنَآ إِنَّا كُنَّا طَٰغِينَ ٣١

Qālū yāwaylanā innā kunnā tāghīn

Wakasema: Ole wetu! Tulikuwa tumeikiuka mipaka! 31

Maelezo ya chini

31 Wakisema: Huku ni kuhiliki kwetu! Hakika sisi tulikuwa tumepita mipaka katika dhulma zetu.