Surat Al-Qalam, aya 30

68:30

فَأَقۡبَلَ بَعۡضُهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ يَتَلَٰوَمُونَ ٣٠

Fa aqbala ba'duhum 'alā ba'din yatalāwamūn

Basi wakakabiliana kulaumiana wao kwa wao. 30

Maelezo ya chini

30 Wakawa wanaelekeana wao kwa wao wakilaumiana,