Surat Al-Qalam, aya 26

68:26

فَلَمَّا رَأَوۡهَا قَالُوٓاْ إِنَّا لَضَآلُّونَ ٢٦

Falammā ra'awhā qālū innā ladāllūn

Basi walipo liona, wakasema: Hakika tumepotea! 26

Maelezo ya chini

26 Walipo liona limekuwa jeusi limeungua, walisema nao wamebabaika: Hakika sisi bila ya shaka tumepotea. Hili silo shamba letu!