Surat Al-Qalam, aya 25

68:25

وَغَدَوۡاْ عَلَىٰ حَرۡدٖ قَٰدِرِينَ ٢٥

Waghadaw 'alā hardin qādirīn

Na walikwenda asubuhi, nao wameshikilia azimio hilo. 25

Maelezo ya chini

25 Wakenda hapo asubuhi mpaka kwenye shamba lao, na azma yao ovu hiyo, na wao ni wenye uwezo kaamili wa kutenda hayo kwa kujigamba kwao.