Surat Al-Qalam, aya 16

68:16

سَنَسِمُهُۥ عَلَى ٱلۡخُرۡطُومِ ١٦

Sanasimuhū 'alal-khurtūm

Tutamtia kovu juu ya pua yake. 16

Maelezo ya chini

16 Tutambandika alama juu ya pua yake ya kumganda, apate kufedheheka mbele za watu.