Surat Al-Qalam, aya 15

68:15

إِذَا تُتۡلَىٰ عَلَيۡهِ ءَايَٰتُنَا قَالَ أَسَٰطِيرُ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٥

Idhā tutlā 'alayhi āyātunā qāla asātīrul-awwalīn

Anapo somewa Aya zetu, husema: Hizi ni simulizi za uwongo za watu wa zamani! 15

Maelezo ya chini

15 Akisomewa Qur'ani husema: Hivi ni visa vya uwongo vya watu wa kale!