Surat Al-Qalam, aya 10

68:10

وَلَا تُطِعۡ كُلَّ حَلَّافٖ مَّهِينٍ ١٠

Walā tuti' kulla hallāfim mahīn

Wala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa, 10

Maelezo ya chini

10 Wala usiache mwendo wako ulio nao kwenda kinyume na kila mwingi wa viapo, mtu wa kudharauliwa,