Surat Al-Qalam, aya 11

68:11

هَمَّازٖ مَّشَّآءِۭ بِنَمِيمٖ ١١

Hammāzim masshā'i binamīm

Mtapitapi apitae akifitini. 11

Maelezo ya chini

11 Mtapitapi mwenye kueneza aibu za watu, mwenye kuwasengenya watu, kuwasema kwa siri, mwenye kutwaa maneno baina ya watu kwa sababu ya kuwafisidi,