Surat Al-Mutaffifin, aya 26

83:26

خِتَٰمُهُۥ مِسۡكٞۚ وَفِي ذَٰلِكَ فَلۡيَتَنَافَسِ ٱلۡمُتَنَٰفِسُونَ ٢٦

Khitāmuhū miskun wafī dhālika falyatanāfasil-mutanāfisūn

Muhuri wake ni miski. Na katika hayo washindanie wenye kushindana. 26

Maelezo ya chini

26 Kuhifadhiwa huko hakukuzidisha ila uzuri wake. Na kupata neema hizo, basi, na washindanie wanao shindana.