Surat Al-Mursalat, aya 46

77:46

كُلُواْ وَتَمَتَّعُواْ قَلِيلًا إِنَّكُم مُّجۡرِمُونَ ٤٦

Kulū watamatta'ū qalīlan innakum mujrimūn

Kuleni na mjifurahishe kidogo tu. Hakika nyinyi ni wakosefu! 46

Maelezo ya chini

46 Na makafiri wataambiwa: Kuleni na mjistareheshe kwa starehe isiyo baki muda mrefu, kwani hakika nyinyi ni wakosefu kwa kumshirikisha kwenu Mwenyezi Mungu.